1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanaharakati auawa nchini Kenya

John Juma6 Januari 2023

Nchini Kenya polisi wanachunguza kisa cha mwili wa mwanaharakati wa kutetea haki za wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutupwa kando ya barabara ukiwa ndani ya sanduku eneo la Uasin Gishu. John Juma alizungumza na wakili Brian Weke ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu kuhusu hilo na mengine mengi. Mwanaharakati huyo ameanza kwa kuzungumzia masikitiko yake kuhusu tukio hilo.

https://p.dw.com/p/4LoMA