1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiNigeria

Mwanafunzi anayeosha magari ili kulipa karo ya chuo kikuu

11 Agosti 2023

Sani Usman amedhamiria kupata shahada ya chuo kikuu. Bila kujali hali yake katika kutimiza ndoto yake, kijana huyo amekuwa akiosha magari ilikukidhi mahitaji ya shule.

https://p.dw.com/p/4V52A