1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanadada aliyefunga mabao 22 katika mechi moja

Sylvia Mwehozi
17 Januari 2024

Inawezekana rekodi yake haitambuliki kimataifa, lakini mwanadada Irene Maria Gonçalves aliwahi kupachika mabao 22 katika mechi moja. Anajulikana pia kama “Diva mwangamizaji“ akitajwa kuwa mfungaji bora wa wakati wote katika soka la wanawake. Kurunziwanawake leo inatizama mafanikio yake hata baada ya kustaafu soka.

https://p.dw.com/p/4bMWs