1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanadada aliyeamua kuacha kazi ili kuifuata ndoto yake

27 Agosti 2020

Aliamua kuacha kazi katika Umoja wa Mataifa, kusudi tu aifuate ndoto yake, ambayo ilikuwa ni kuliangazia taifa lake kwa njia bora. Akaamua kujikita katika sekta ya michezo na kuuza mavazi ya michezo. Vijana Mubashara inamuangazia Navalayo Osembo, raia wa Kenya, katika mfululizo wa video za 'Narejea Nyumbani'

https://p.dw.com/p/3hb8Y