Kutana na Jonesia Rukyaa, mwamuzi wa mpira wa miguu wa kike nchini #Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA World Cup na ambaye amechaguliwa kuchezesha mechi za fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa Wanawake zitakazofanyika nchini Ufaransa, Juni 7 - Julai 7.