1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Mwaka mmoja tangu Urusi kuivamia Ukraine

24 Februari 2023

Leo February 24, 2023, umetimia mwaka mmoja tangu Urusi kuivamia Ukraine. Ukraine inashuhudia mwaka mmoja wa umwagaji damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Nw5I