1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine

Rashid Chilumba23 Februari 2023

Imetimia mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. Rashid Chilumba amezungumza na Ahmed Rajab mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London na kwanza alitaka tathmini yake ya tangu vita vilipozuka kwa mara ya kwanza Februari 24 mwaka 2022 na vilipofikia mpaka sasa

https://p.dw.com/p/4Ntjk