1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano wazuka Ujerumani juu ya mrithi wa Kansela Merkel

14 Aprili 2021

Mgawanyiko unashuhudiwa ndani ya muungano wa vyama ndugu vya kihafadhina Ujerumani vya CDU/CSU kuhusu mrithi wa Kansela Angela Merkel katika uchaguzi mkuu wa mwezi Septemba. Kila chama kinataka kiongozi wake kuwa mgombea. Zaidi sikiliza mahojiano haya kati ya Rashid Chilumba na Mohammed Abdulrahamn mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini Cologne.

https://p.dw.com/p/3rz8k