1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano ndani ya CUF waendelea

28 Septemba 2016

Baada ya baraza kuu la uongozi taifa la chama cha upinzani CUF kumfukuza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba, mwanasiasa huyo amesisitiza kuwa yeye ni mwenyekiti na mwanachama halali.

https://p.dw.com/p/2QgLz
Ibrahim Lipumba akiwa na Maalim Seif
Ibrahim Lipumba akiwa na Maalim SeifPicha: DW/M.Khelef

J3 2809 CUF-Lipumba insists he is still the Chairman - MP3-Stereo

DW Kiswahili | Saumu Mwasimba
Saumu Mwasimba Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW