1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki na ushabiki wa soka

Saumu Mwasimba5 Julai 2018

Katika kila michuano ya kimataifa au kitaifa ya soka huwezi kuuweka pembeni muziki. Kwa maneno mengine, muziki nao unachukua nafasi kubwa katika burudani ya kuhamasisha mashabiki wa soka au timu za mchezo huo. Kila michuano ya Kombe la Dunia panahusika pia wanamuziki wanaotunga nyimbo maalum za kusifia na kutoa hamasa katika michuano hiyo wakidhaminiwa na makampuni makubwa duniani.

https://p.dw.com/p/30sMV