1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muungano wa Tanzania, Demokrasia na Haki za binaadamu

29 Aprili 2018

Kwenye Maoni mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef amezungumzia muungano wa Tanzania uliofikisha miaka 54. Kwa kina kutajadiliwa dhima ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuelekea masuala ya demokrasia na haki za binaadamu. Ungana nao kwa kubonyeza hapa kusikia mjadala kwa upana.

https://p.dw.com/p/2wrkv