1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni na Kagame wapatana tena

21 Agosti 2019

Marais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano juu ya usalama na ushirikiano baada ya mzozo baina ya nchi ulioshamiri Februari mwaka huu ambapo zilifungiana mipaka. Sikiliza mahojiano yaliyofanywa na Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/3OHXy