1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni ayaagiza majeshi kuondoka chuo cha Makerere

30 Oktoba 2019

Hali ingali ya taharuki na ghasia katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda, licha ya hapo jana Rais Yoweri Museveni kuyaagiza majeshi kuondoka katika taasisi hiyo. Polisi wameweka doria kwenye maeneo yote ya chuo katika hatua ya kuzuia mkutano wa hadhara wa wanafunzi ulioitishwa na viongozi wao. Sikiliza ripoti ya mwandishi wa DW Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/3SBio