1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni awalipa walimu wa sayansi mishahara ya juu

14 Oktoba 2021

Shirikisho la walimu nchini Uganda limeipinga hatua ya Rais Yoweri Museveni kuwalipa walimu wa masomo ya sayansi mishahara ya juu kuliko wanaofundisha masomo ya sanaa na elimu ya jamii. Walimu wamesema masomo yote ni muhimu na ikiwa kiongozi anasisitiza kuwa masomo ya sayansi ndiyo bora basi hata wanafunzi watakosa mwelekeo. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/41fpo