1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni akosolewa kutaka kuwapa ulinzi wabunge

2 Julai 2018

Agizo la Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuwa kila mbunge apewe walinzi kama njia ya kuwakikishia usalama wao limekosolewa na watu mbalimbali wakiwemo wabunge wenyewe, wakisema hilo huenda lisiwe suluhisho la kudumu kwa usalama wa nchi unaozorota na badala yake angezingatia chanzo cha wabunge na viongozi wengine wa kisiasa kupokea vitisho kwa maisha yao.

https://p.dw.com/p/30fz8