1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni akosolewa kuunga mkono matamshi ya Trump

24 Januari 2018

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezua mjadala baada ya kumuunga mkono rais wa Marekani Donald Trump, aliyeiita Afrika sehemu ya uvundo. Anatuhumiwa yeye na viongozi wengine wa Afrika kuwa sehemu ya matatizo ya Afrika. Mchambuzi wa masuala ya siasa aliyeko Nairobi, Barack Muluka.

https://p.dw.com/p/2rQgP