1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni akosolewa kuhusu kumteua mwanae

Lubega Emmanuel17 Desemba 2020

Hatua ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kumteua tena mwanae Luteni Jenerali Muhoozi Kaine-rugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha ulinzi wa rais imeibua mjadala hasa wakati huu Uganda inapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Wadadisi wa kisiasa wanasema Museveni amechukua hatua hii kuhakikisha anawaweka watu anaoamini watatimiza maagizo yake. Lubega Emmanuel alituletea ripoti.

https://p.dw.com/p/3mqxt