1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni aahidi msaada wa kijeshi kwa Msumbiji

28 Aprili 2022

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemuahidi mwenzake wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi kwamba endapo patakuwa na haja atapeleka majeshi kusaidia katika kukabiliana na makundi ya wapiganaji wanaotatiza amani na uthabiti nchini humo. Isikilize ripoti ya mwandishi wetu kutoka Kampala, Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/4AYZJ