1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchekeshaji Nyambane kuwa rais wa Kenya?

6 Juni 2022

Tume ya Uchaguzi ya Kenya IEBC imempa ridhaa ya kuwania urais mwigizaji maarifu nchini humo Walter Mong'are Nyambane. Zaidi msikilize katika mahojiano ya Kinagaubaga alivyozungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4CKda