1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mugabe atimiza miaka 93 akiwa madarakani

Mohammed Abdulrahman Mohammed1 Machi 2017

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amefikisha miaka 93 na kufanya sherehe kubwa iliyogharimu kiasi kikubwa cha fedha. Hayo yanakuja wakati asilimia kubwa ya Wazimbabwe wakiishi katika umasikini. Mugabe anasema hakuna wa kumrithi hivyo atagombea tena urais mwaka 2018. Nini mustakbali wa Zimbabwe chini ya rais huyo? Ni mada ya kipindi cha Maoni na Mohammed Abdul-Rahman.

https://p.dw.com/p/2YQWM