1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira : Viongozi watakiwa kuchukua uamuzi haraka kupunguza gesi chafu

Saleh Mwanamilongo
20 Agosti 2021

Ripoti mpya ya jopo la wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi IPCC inaelezea wasiwasi juu ya ongezeko la majanga katika sehemu mbalimbali duniani yanayotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi , na kutahadharisha viongozi wa ulimwengu kufanya uamuzi wa haraka wa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu. Kupitia DW-Bonn, msimulizi wako ni mimi Saleh Mwanamilongo.

https://p.dw.com/p/3zHgb