1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira: UNEA yadhamiria kupunguza athari za kelele

Reuben Kyama4 Machi 2022

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, inaonyesha kuwa uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele una madhara makubwa kwa afya ya mwanadamu na viumbe wengine. Makala ya Mtu na Mazingira wikii hii inaangazia uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele katika miji, hasa barani Afrika na juhudi za kupunguza athari zake.

https://p.dw.com/p/481Iu