1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na mazingira: UN wataka mtama uwe mbadala wa nafaka zengine

3 Machi 2023

Changamoto za usalama na kimazingira zimechangia pakubwa kwa ukosefu wa chakula katika baadhi ya sehemu duniani. Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa limeutaja mwaka huu kuwa mwaka wa mtama kutokana na kuwa ni mmea unaoweza kuvumilia ukame. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Saumu Njama.

https://p.dw.com/p/4OE7E