1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira: Mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi

Musa Naviye/ MMT11 Agosti 2023

Makala ya Mtu na Mzingira wiki hii inaangazia juhudi za wanaharakati na ulimwengu kupunguza viwango vya joto duniani na umuhimu wa kila mmoja kushiriki katika mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabia Nchi. Musa Naviye ndiye mtayarishaji.

https://p.dw.com/p/4V4lY