1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira: Kenya na juhudi za kuongeza miti na misitu

Thelma Mwadzaya/ MMT2 Septemba 2022

Ripoti mpya ya tathmini ya misitu nchini Kenya imebaini kuwa maeneo yaliyo na miti mingi yameongezeka kutokea 5.9% tangu mwaka 2018 hadi 8.83%. Katika Makala ya Mtu na Mazingira, Thelma Mwadzaya anamulika juhudi za kuiongeza idadi ya miti nchini Kenya na misitu kwa jumla.

https://p.dw.com/p/4GMVI