1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtizamo wa vijana kuhusu kuvumiliana au stahamala

23 Novemba 2021

Ustahamilivu haumaanishi kuwa unakubaliana kwa shingo upande na wengine. La hasha! bali unaamnisha kwamba pamoja na tofauti zote zilizopo, bado mnaweza kuishi pamoja bila kukwazana na kwa kuheshimiana. Tofauti ni nyingi katika maisha, kidini, kisiasa, kikabila na hata kijinsia. Veronica Natalis amewakusanya vijana kadhaa kule Arusha kupata mtazamo wao kuhusu hili suala la uvumilivu na stahamala.

https://p.dw.com/p/43N9L