1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtawa Melkiori Mehnini ni mateka aliyenusurika Nigeria

5 Septemba 2023

Katika mahojiano ya Kinagaubaga Florence Majani anazungumza na Mtanzania mtawa anaejifunza mafunzo ya upadri Melkiori Mehnini miongoni mwa mateka aliyeachiwa huru hivi karibuni nchini Nigeria, baada ya kutekwa na kuzuiwa kwa siku 21.

https://p.dw.com/p/4Vyt5