1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msukumo CCM, Rais Samia wa Tanzania kuwania urais 2025

6 Oktoba 2021

Nchini Tanzania kunaonekana kuwepo kwa msukumo mpya ndani ya chama tawala CCM na hata nje ya chama hicho kutaka Rais Samia Suluhu Hassan aungwe mkono kuwania urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2025. Lakini ni kwa nini hali hiyo inajitokeza wakati huu ambapo bado uchaguzi uko mbali. Saidi Nguba anazifahamu vyema siasa za chama hicho tawala na Sudi Mnette amezungumza naye.

https://p.dw.com/p/41LC7