1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msitu Kazimzumbwi kurejeshwa hali yake ya zamani

Shisia Wasilwa11 Aprili 2018

Muongo mmoja uliopita hifadhi ya msitu wa Kazimzimbwi, Tanzania ulikuwa unaangamia kutokana  na shughuli hasi za binadamu. Lakini leo, msitu huo unaoitwa "Mapafu ya Dar es Salaam" taratibu unaanza kurejesha hadhi yake ya awali. 

https://p.dw.com/p/2vq8U