1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimu mpya wa Bundesliga waanza

Josephat Charo
26 Agosti 2024

Mabingwa watetezi wa Bundesliga Bayer Leverkusen waanza vyema msimu mpya wa ligi. Bayern Munich yaishinda Wolfsburg chini ya kocha mpya Vincent Kompany. Ilkay Gundogan aanza kazi baada ya kurejea Manchester City kutokea Barcelona. Dar Young Africans wasonga mbele mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4jwH7