1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana ''Zuchu Baby'' aliye na kipaji cha kipekee

21 Januari 2022

Msichana mdogo anaefanya sanaa ya uigizaji akiwa katika jukwaa huimili vyema na kugeuka kivutio kwa watoto wengine jamii inamtazamo chanya juu yake na hii humpa hamasa ya yeye kufanya vizuri zaidi na kuzifikia ndoto zake. Lakini wazazi pamoja na walezi kuwapa nafasi watoto katika michezo ili kuvigundua vipawa vilivyo ndani ya watoto wao. #msichanajasiri

https://p.dw.com/p/45tQW