1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri: Sharon Ringo Balozi wa Utalii Afrika Mashariki

Veronica Natalis
26 Mei 2023

Makala hii ya Msichana Jasiri inamwangazia Sharong Ringo Mowo msichana wa kitanzania aliyechaguliwa kuwa balozi wa Afrika Mashariki aliyeandika kitabu cha "The Big Five" kwa lengo la kuwaelimisha watoto kuhusu wanyama hao wakubwa na athari za kupotea kwao kutokana na ujangili. Msikilize Veonica Natalis akisimulia.

https://p.dw.com/p/4RrH1