1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri: Rafat Ally, mwandishi chipukizi Tanzania

29 Desemba 2023

Rafat Ally angali binti mdogo lakini tayari ameshaanza kutimiza baadhi ya ndoto zake maishani, ikiwa ni pamoja na kuwa mwandishi wa vitabu. Kitabu chake cha kwanza ambacho kimeshachapishwa kinaitwa 'The First female President' kinamuangazia rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Mtangazaji wetu chipukizi Mitchelle Ceaser anaangazia juhudi za Rafat kwenye 'MsichanaJasiri.

https://p.dw.com/p/4ai6V
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Vidio zetu