1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msemaji wa Ikulu wa Sudan Kusini ziarani Kampala

7 Februari 2014

Serikali ya Sudan Kusini imethibitisha kuwa uchaguzi mkuu utafanyika mwezi wa Aprili mwaka ujao.

https://p.dw.com/p/1B4cj
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini apanga kuwania urais kwa muhula mwingine
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini apanga kuwania urais kwa muhula mwinginePicha: Reuters

Rais Salva Kiir atakuwa miongoni mwa wagombea kiti cha urais. Aliyekuwa naibu wake na ambaye sasa amegeuka kuwa hasimu wake Riek Machar ingawa ana matumaini ya kugombea urais, serikali ya Sudan Kusini imesema ataruhusiwa kugombea ikiwa atatangaza kusitisha uasi.

Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi