1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko wa ugonjwa wa Surua visiwani Zanzibar

Salma Said31 Oktoba 2022

Watoto wanane wameripotiwa kufariki na wengine zaidi ya 100 wamelazwa katika hospitali mbalimbali za Unguja na Pemba baada ya kupata ugonjwa wa Surua ambao kwa kiasi kikubwa umeanza kuwaathiri hasa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Mripuko wa Surua uliripotiwa kuanzia mwezi Juni mwaka huu 2022. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Salma Said kutoka Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4ItjX