1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko wa Ebola nchini Kongo, tatizo liko wapi?

Saleh Mwanamilongo31 Agosti 2022

Wizara ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kupatikana kwa mgonjwa mpya wa Ebola kwenye mji wa Beni jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha miripuko ya 10 na 11 iliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka 2020 na April 2021. Kwenye makala ya Afya Yako, Saleh Mwanamilongo anaangazia sababu za ugonjwa wa Ebola kuendelea kuripuka nchini Kongo.

https://p.dw.com/p/4GGMp