1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko mpya wa Ebola mjini Beni

24 Agosti 2022

Viongozi wa sekta ya afya katika mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameanza kuchukua hatua za kupambana na mripuko mpya wa ugonjwa hatari wa Ebola, ambao umetangazwa baada ya kuthibitishwa kimaabara kuwa mgonjwa aliyefariki tarehe 15 mwezi huu wa Agosti mjini humo, alikuwa akiugua ugonjwa huo. Msikilize John Kanyunyu ameandaa ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/4Fy22