1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa kuwasaidia wakimbizi vijana kambi ya Kakuma, Kenya

Shisia Wasilwa14 Agosti 2019

Mradi wa kwanza wa kuwawezesha vijana wenye vipaji katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, umezinduliwa nchini kenya. Kambi hiyo huwahifadhi wakimbizi kutoka mataifa mbali mbali waliotoroka vita ama dhulma katika mataifa yao.

https://p.dw.com/p/3NtIU