1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa kufua umeme wa Rusumo na athari zake kwa mazingira

Prosper Kwigize/MMT17 Desemba 2021

Makala ya Mtu na Mazingira wiki hii inaangazia athari za mazingira za mradi wa kufua umeme wa Rusumo unaotekelezwa na nchi tatu za Burundi, Rwanda na Tanzania katika maporomoko ya maji ya mito Ruvubhu na Rusumo. Prosper Kwigize ndiye nahodha wako.

https://p.dw.com/p/44SWH