1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi mkubwa wa umeme wazinduliwa Afrika Mashariki

26 Mei 2023

Marais wa Tanzania na Uganda, Samia Suluhu na Yoweri Museveni wamezindua mradi wa kimkakati wa umeme Afrika Mashariki ujulikanao kama Kikagati Murongo Hydropower Plant, wilayani Isingiro Uganda, wenye uwezo wa kuzalisha megawati 14 ambazo zitawanufaisha raia wa mataifa hayo. Bi Zaitun Abdallah Msofe ni Mkuu wa Wilaya ya Kelwa upande wa Tanzania Sudi mnettee amezungumza nae

https://p.dw.com/p/4Rqcq