1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiRwanda

Mradi wa kupambana na mabadiliko ya tabia nchi Rwanda

12 Mei 2023

Mradi nchini Rwanda unalenga kuwasaidia wakulima kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuwafundisha jinsi ya kuboresha ardhi na kutumia mazao mbalimbali. Mradi huo tayari unaonyesha matokeo katika milima ya Mkoa wa Kaskazini mwa nchi. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4RHcw