1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa Vijana wa Umoja wa Mataifa, Kigoma, Tanzania

30 Juni 2021

Sikiliza Makala Yetu Leo iliyoandaliwa na mwandishi wa DW Prosper Kwigize ambapo leo anajikita katika mji wa Kigoma huko Tanzania kutazama jinsi Umoja wa Mataifa unavyochangia kupunguza umaskini katika mji huo ambao umekuwa ukiwapokea wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo miongoni mwa nchi zengine.

https://p.dw.com/p/3vpYd