1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kunadhifisha miji

Michael Kwena/MMT5 Agosti 2020

Idadi kubwa ya watu barani Afrika, imechangia uchafuzi wa Mazingira kutokana na utupaji wa taka kiholela mijini na hata vijiijini. Lakini nchini Kenya, yapo matumaini kuwa hali hiyo itabadilika. Hii ni kutokana na hatua ya serikali ya Kenya kutangaza mpango uitwao KAZI MTAANI, wa ajira kwa vijana kunadhifisha mazingira ya miji. Mengi zaidi na Michael Kwena kwenye makala ya Mtu na Mazingira.

https://p.dw.com/p/3gPaW