1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Modeste aiokoa Dortmund katika Der Klassiker

Josephat Charo
10 Oktoba 2022

Union Berlin walishinda dakika za lala salama kuendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga. Anthony Modeste aikoa Borussia Dortmund 2-2 katika Der Klassiker. Arsenal yarejea kileleni mwa ligi ya Premier. Wekundu wa Msimbazi Simba wajiweka katika nafasi ya kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

https://p.dw.com/p/4I0aE