1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Mnaitana majina gani na wafanyakazi wenzako kazini?

6 Juni 2023

Kisa cha mwanasheria mmoja mwanamke nchini Kenya kufutwa kazi kwa kumuita mfanyakazi mwenzake wa kiume majina ya utani ambayo mwajiri aliyazingatia kuwa unyanyasaji wa kijinsia kilizusha mjadala mkali. Majina kama babe, mpenzi, darlin, cheri, husikika sana katika mahala pa kazi. Je, ni sawa au si sawa? Ungana na Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/4SFqK