1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMamlaka ya Palestina

Mkwamo katika kutafuta makubaliano ya kusitisha vita Gaza

21 Februari 2024

Juhudi za kupata suluhisho la kudumu katika mzozo kati ya Israel na Hamas bado hazijafua dafu. Kundi la Hamas halijajisalimisha wala kuwaachia huru mateka wote na juhudi za kuitaka Israel isitishe mashambulizi pia hazijafanikiwa ikiwemo azimio lililopingwa na kura ya turufu ya Marekani. John Juma amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Mohammed Abdul-Rahman kuhusu mkwamo huo.

https://p.dw.com/p/4chn2