1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Wawekezaji mjini Arusha,Tanzania

13 Machi 2007

Wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani wamekutana na serikali ya Tanzania mjini Arusha katika mkutan ulioandaliwa na serikali kwa madhumuni ya kujadiliana juu ya masuala muhimu ya kiuchumi.

https://p.dw.com/p/CHII
Mwandishi wetu wa Arusha Charles Ngereza ametutumia ripoti ifuatayo kutoka kwenye mkutano huo.