1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa SADC wamalizika mjini Dar es Salaam,Tanzania

31 Julai 2007

Mkutano wa mawaziri wa usalama na mambo ya nje wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC uliokuwa ukifanyika mjini Dar es salaam, ulimalizika huku mambo kadhaa yakizingatiwa na kupewa kipaumbele.

https://p.dw.com/p/CHAJ
Jiji la Dar es salaam, kulikofanyika mkutano wa SADC
Jiji la Dar es salaam, kulikofanyika mkutano wa SADCPicha: DW /Maya Dreyer

Maswala hayo ni pamoja na mgogoro wa kisiasa unaoiukumba Zimbabwe, nchi zingine zilizojadiliwa ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na Lesotho.

Mwandishi wetu Christopher Bhuke anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam.