1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa SADC kuhusu mzozo wa Zimbabwe nchini Tanzania

28 Machi 2007

Viongozi wa nchi wanachama wa SADC wanakutana mjini Dar es Salaam, Tanzania kwa mkutano wa siku mbili kujadili mzozo wa kisiasa wa Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/CB52
Ghasia zilizotokea hivi karibuni huko Zimbabwe
Ghasia zilizotokea hivi karibuni huko ZimbabwePicha: AP

Zainab Aziz alipata fursa ya kuzungumza na Profesa Chris Peter wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwanza alimuuliza iwapo kweli viongozi hao watakuwa nma ubavu wa kumshinikiza Rias Robert Mugabe ang'atuke madarakani.