1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kitaifa wa haki wakamilika Tanzania

Deo Kaji Makomba
6 Aprili 2022

Huko nchini Tanzania Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa haki, Amani na maridhiano, umekamilika huku ukipitisha mapendekezo ya maazimio kadha kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wanasiasa katika harakati zao za siasa. Msikilize Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/49YUm